Skip to main content
Skip to main content

Familia Mombasa yalilia haki baada ya jamaa wao kufariki mikononi mwa polisi

  • | KBC Video
    73 views
    Duration: 3:43
    Familia moja katika kaunti ya Mombasa inatafuta haki kufuatia kifo cha jamaa wao Akiwa mikononi mwa polisi. Familia ya marehemu Simon Warui mwenye miaka 26 inasema jamaa wao alifariki akiwa amezuiliwa na polisi mjini Mombasa katika hali tatanishi, siku kadhaa baada ya kuripotiwa kuwa ametoweka jijini Nairobi. Familia hiyo sasa inataka uchunguzi ufanywe haraka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive