Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaridhia ujenzi wa magorofa maeneo ya Kilimani

  • | KBC Video
    82 views
    Duration: 1:42
    Mahakama ya rufaa imeipatia serikali ya kaunti ya Nairobi idhini ya upanuzi wa mijengo yake chini yamkikakati wazi, ya kisheria na jumuishi. Majaji Daniel Musinga, Joel Ngugi na George Odunga wamesema kanuni za ujenzi wa jiji za mwaka 2004 haziwezi kuendelea kutumika. Hata hivyo majaji hao wanasema upanuzi huo lazima ujumuishe vikao vya ushirikishi wa umma huku mahakama ikiendelea na wajibu wa kuhakikisha uzingatiaji mwongozo uliowekwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive