Skip to main content
Skip to main content

Mvutano wa Ushindi: Chakwera vs Mutharika

  • | BBC Swahili
    13,123 views
    Duration: 28:10
    Vyama vya rais wa sasa wa Malawi Lazarus Chakwera na mtangulizi wake Peter Mutharika vimetangaza ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne wiki hii, ingawa zoezi la kuhesabu kura bado halijakamilika. Endapo hakuna mgombea atakayepata angalau asilimia 50 ya kura zote, duru ya pili ya uchaguzi itafanyika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw