Malalamishi ya ongezeko la visa vya wasafiri kudhulumiwa na bidhaa zao wanapopitia uwanja wa ndege

  • | K24 Video
    52 views

    Mamlaka ya KRA na wizara ya utalii zinashirikiana kwa karibu kuboresha jinsi idara ya forodha sio tu kwenye angatia ya Jomo Kenyatta bali pia katika vituo vya mpakani, katika jitihada za kuhifadhi na kukuza sekta ya utalii. Hili limejiri kufuatia malalamishi ya ongezeko la visa vya wasafiri kudhulumiwa na bidhaa zao kuzuiliwa na maafisa wa KRA wanapopitia uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta.