- 6,532 viewsDuration: 2:50Ni afueni kwa familia moja katika mtaa wa Lucky Summer hapa jijini nairobi baada ya watoto wao wawili walioripotiwa kutoweka wiki tatu zilizopita kupatikana. Watoto Ketra na Juneida wameunganishwa na familia yao hii leo baada ya kupatikana katika mtaa wa Kayole. Na kama anavyorifu Ode Francis, machozi ya furaha yaliwaakila watoto hao nyumbani.