Suala la Kenya la kupeleka vikosi vya usalama Haiti lazua hisia mseto

  • | VOA Swahili
    225 views
    Mdahalo kuhusu hatua ya Kenya kupeleka vikosi vya usalama nchi Haiti unaendelea kuzua hisia mseto licha ya Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuidhinisha Kenya kuelekea Haiti. Katika Chuo Kikuu cha Howard hapa Marekani wanafunzi na wataalam walikutana kujadili mzozo wa Haiti na hatua ya Kenya kupeleka maafisa wake. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.