Mchakato wa ujenzi wa daraja la Msimbazi unakabiliwa na changamoto

  • | VOA Swahili
    171 views
    Wakati Jitihada za kukomesha tatizo la mafuriko katika mkondo wa mto Msimbazi jijini Dar es salaam kwa ujenzi wa miundombinu ya kuzuia haliyo ikiwemo ujenzi wa daraja utakaoanza mwaka ujao wa 2024 bado mchakato huo unakabiliwa na changamoto zikiwemo wananchi kutokubaliana na fidia ili kupisha maeneo yao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.