Kisukali chasababisha maradhi ya moyo

  • | VOA Swahili
    158 views
    Katika siku ya Kisukari Duniani, madaktari wanaonya kwamba hata kama huna kisukari, kiwango cha sukari kikiwa juu kidogo tu unaongeza hatari ya ugonjwa wa moyo, watafiti wa Uingereza wanasema wanaume walio chini katika suala la kisukari huenda wakawa na hatari kubwa kwa asilimia 30 kupata kisukari na wanawake wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.