Mafuriko nchi Kenya yaleta madhara

  • | VOA Swahili
    355 views
    Maeneo mbali mbali yameshuhudia mafuriko ikiwemo, maafa, watu kupoteza makao. Kwa siku tatu mfululizo pwani ya Kenya imeshuhudia mvua nzito ambayo sasa imesababisha maafa katika sekta nyingi. Katika tukio moja, mjini Mombasa, Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kupigwa kwa umeme huku maafisa wa jeshi la kenya wakiendelea kutafuta watu wawili ambao inasemekana walisombwa na mafuriko.