Mafuriko yalivyosababisha uharibifu mkubwa katika mji wa Mombasa

  • | VOA Swahili
    219 views
    Mafuriko yamesababisha uharibifu mkubwa katika mji wa Mombasa Kenya, nyumba zikijaa maji huku usafiri ukitatizika. Mvua kubwa inaendelea kunyesha pwani ya Kenya huku wakaazi walio katika sehemu zenye mafuriko wakiitisha msaada wa serikali. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.