Mwanamke dereva wa gari la wagonjwa aliyekaidi kanuni za kijinsia

  • | VOA Swahili
    144 views
    Batula Ali amekaidi kanuni za kijinsia na matarajio ya jamii na kuwa mwanamke wakipekee dereva wa gari la wagonjwa yaani ambulensi katika kambi kubwa ya wakimbizi nchini Kenya, Dadaab. Ahmed Hussein alikutana na Batula anatupasha zaidi kutoka Kaunti ya Garissa, Kenya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.