- 495 viewsKampeni za mwezi moja kabla ya uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zilianza rasmi Jumapili kukiwa na wasi wasi na mashaka juu ya kufanyika uchaguzi huo kwa njia huru na amani. Karibu watu millioni 44 wamejiandikisha kati ya wakazi milioni 100, kumchagua rais, wabunge na madiwani hapo Disemba 20, wakati nchi iko katika hali nzito ya kisiasa na usalama huko mashariki ya nchi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kampeni zaanza mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu DRC
- - Duniani Leo ››
- 16 Jul 2025 - A religious party has quit Israel's ruling coalition in a dispute over military service, leaving Prime Minister Benjamin Netanyahu with a razor-thin majority in parliament but still enough political support to secure a potential Gaza ceasefire.
- 16 Jul 2025 - Indonesian authorities have detained 12 suspects after uncovering an alleged baby trafficking ring that sent more than a dozen infants to Singapore, a police official told AFP on Tuesday.
- 16 Jul 2025 - U.S. President Donald Trump said he believed Britain would fight to defend the United States but suggested he could not say the same for the European Union, a factor in his decision not to sign a trade deal with the bloc.
- 16 Jul 2025 - The agency received 713,173 applications but could only fund 322,338 university students.
- 16 Jul 2025 - Cover-up claims as civil society details Saba Saba crackdown horror
- 16 Jul 2025 - Memories of National Youth Service and the new reality
- 16 Jul 2025 - HELB deficit locks out 160,000 from funding
- 16 Jul 2025 - Pathologists want two weeks to undertake further analysis on Julia Wangui’s body.
- 16 Jul 2025 - Three girls reveal how they escaped forced marriage in communities where a first period signals it's time to wed
- 16 Jul 2025 - Lawmakers and Members of County Assemblies are in the list.