- 287 viewsMataifa ya Afrika mashariki yameanza kutekeleza sera ya kunadi utalii wao kwa pamoja kuvutia watalii zaidi. Kenya na Uganda sasa zinatekeleza sera hii itakayohakikisha wamefaidika kutokana na aina mbali mbali ya utalii katika mataifa hayo. Ripota wetu wa Mombasa Amina Chombo anatuelezea zaidi kuhusu mpango huu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Uganda na Kenya zaungana kunadi utalii
- - Ringtone |The Trend ››
- 18 May 2024 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has cautioned leaders against taking the country back to dark days when politics of ethnicity were commonplace.
- 18 May 2024 - President William Ruto's allies have come out guns blazing to dismiss the Limuru III meeting that happened on Friday, terming it as a divisive way of trying to push an agenda and undermine the Kenya Kwanza rule.
- 18 May 2024 - The Vatican on Friday tightened procedures for evaluating reported supernatural events such as weeping Madonnas and blood-dripping crucifixes that have for centuries whipped up the Catholic faithful.
- 18 May 2024 - The Ministry of Health has warned of possible outbreaks of waterborne diseases and other infections in schools following the recent floods experienced in most parts of the country.
- 18 May 2024 - Cases of bird flu have been confirmed among wild fowl in western China, the agriculture ministry said on Saturday, as concerns grow over a U.S. outbreak infecting cattle herds.
- 18 May 2024 - EACC has recommended the prosecution of politician Cyrus Jirongo, FKF President Nick Mwendwa and former Sports PS Amb. Peter Kaberia.
- 18 May 2024 - He said politics should go beyond regions and tribes
- 18 May 2024 - Several cases of cholera have been reported since the onset of floods
- 18 May 2024 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has cautioned leaders against taking the country back to dark days when politics of ethnicity were commonplace. Mudavadi regretted that politics were previously determined by ethnic configurations and engagements…
- 18 May 2024 - Admits that a number of their existing brigades were empty