- 29 viewsMaafisa wa mjini Harare nchini Zimbabwe wamepewa onyo la kusafisha mitaa wakati raia wakikumbana na kusambaa kwa mlipuko wa kipindupindu. Mlipuko huo umeikumba nchi nzima na unachukua maisha ya vijana na wazee, huku kukiwa na rekodi ya kesi za kipinduindu takriban 8,087 ambazo zinashukiwa na zile zilizothibitishwa 1,241 hadi Novemba 19, kwa mujibu wa wizara ya afya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Maafisa Harare waonywa kusafisha mitaa wakati raia wakipambana na kipindupindu
- 18 May 2024 - Outspoken lawyer Miguna Miguna has shared his recovery journey after sustaining a minor leg injury.
- 18 May 2024 - Police in Ugunja, Siaya County are investigating the death of a 35-year-old man whose body was found hanging in his rented house within Ugunja town on Saturday morning.
- 18 May 2024 - Nominated Senator Crystal Asige has called on the government to include people living with disabilities in policy formulation in matters of transport and mobility.
- 18 May 2024 - The PS also issued an advisory to applicants on what they need to do during the week.
- 18 May 2024 - Several people have been injured after two factions clashed over a market project in Thika. Supporters of Thika MP Alice Ng’ang’a and Kamenu ward MCA Peter Mburu faced off over the construction of the Kiganjo market within Kamenu ward with both leaders…
- 18 May 2024 - Joe Biden's Democratic Party on Friday accused House Speaker Mike Johnson of disrespecting Africa.
- 18 May 2024 - Puzzle of 2,000 absentee pupils in flood-ravaged Mai Mahiu school
- 18 May 2024 - Governor Kihika, CEO clash over closure of War Memorial Hospital
- 18 May 2024 - Papaya is an incredibly healthy tropical fruit
- 18 May 2024 - The United Democratic Alliance (UDA) party is conducting its second phase of grassroots election in all the 40 wards within Homa Bay County today (Saturday).