- 147 viewsNchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki zimekubaliana kutangaza utalii kwa pamoja badala ya kila nchi kunadi utalii yenyewe ikiwa ni jitihada za kuinua utalii wa kanda nzima. Katika kongamano la tatu la utalii lililomalizika nchini Kenya, nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kuanzisha mchakato wa kuondoa hitaji la visa ilikuwarahishia watalii kuzuru mataifa hayo kwa wakati mmoja bila pingamizi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zakubaliana kuutangaza utalii kwa pamoja
- - Thika | AREA CODE ››
- 18 May 2024 - Angry residents of Kaminji village in Mwea-West, Kirinyaga County on Friday morning arrested four suspected donkey thieves and set one of their vehicles on fire.
- 18 May 2024 - Angry residents of Kaminji village in Mwea-West, Kirinyaga County on Friday morning arrested four suspected donkey thieves and set one of their vehicles on fire.
- 18 May 2024 - The Catholic church has changed its rules on judging miracles as it seeks to avert scandals. The rules come into effect on Sunday, May 19.
- 18 May 2024 - Man luckily survived the fall but he suffered broken limbs
- 18 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Emmanuel Wanyonyi, Wycliffe Kinyamal, and Emmanuel Korir wi*l clash in the Diamond League‘s 800m race in M**occo on Sunday, May […]
- 18 May 2024 - The floods have also killed thousands of cattle, destroyed some 2,000 houses
- 18 May 2024 - The county has set two conditions for landowners who want to enjoy the waiver.
- 18 May 2024 - The MPs urged Kenyans to disregard claims of a rift in the ruling party.
- 18 May 2024 - At least 50 people are dead following a fresh bout of heavy rain and flooding in central Afghanistan, an official said on Saturday.
- 18 May 2024 - Some of the affected landowners include individuals as well as county offices.