Kamanda wa polisi katika kaunti ya Migori awaonya walanguzi wa dawa za kulevya kuwa watakabiliwa

  • | Citizen TV
    294 views

    Kamanda wa polisi katika kaunti ya Migori Francis Nguli amewaonya walanguzi wa dawa za kulevya wanaotumia mpaka wa Kenya na Tanzania kusafirisha dawa hizo kuwa watakabiliwa.