Raila ataka waziri wa elimu kuchunguzwa kufuatia hitilafu zilizoshuhudiwa kwenye matokeo ya KCPE

  • | KBC Video
    39 views

    Kinara wa upinzani Raila Odinga amedai kwamba mtihani wa kitaifa wa darasa la nane;KCPE wa mwaka huu ulikumbwa na dosari ambapo sasa anamtaka waziri wa elimu Ezekiel Machogu kuchunguzwa kwa hitilafu zilizoshuhudiwa. Raila amedai kwamba kando na dosari za wazi zilizoshuhudiwa,hitilafu za matokeo kwa watahiniwa zilitokana na hatua ya serikali ya kubadilisha dakika za mwisho kandarasi ya kuchapisha karatasi za mitihani kutoka kwa kampuni salama ya uchapishaji nchini Uingereza hadi kwa kampuni ya uchapishaji huko Mombasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kcpe