Wapiganaji wa kigeni elfu Ishirini waliojiunga na vita vya Ukraine ni kina nani ? Wanatoka wapi ?

  • | BBC Swahili
    7,096 views
    Ukraine imekuwa kwenye vita kwa zaidi ya siku 100 dhidi ya Urusi. Tangu wakati huo, zaidi ya wanajeshi 20,000 wa kigeni kutoka nchi zaidi ya 50 wamejiunga na vita dhidi ya Urusi. Wao ni nani na kwa nini wanahatarisha maisha yao? Mwandishi wa BBC Olga Malchevska alipata fursa ya kuingia katika moja ya vituo vyao vya siri vya mafunzo. #ukraine #russia #putin #zelensky