Skip to main content
Skip to main content

Museveni kuwania urais baada ya miaka 40 madarakani

  • | BBC Swahili
    17,401 views
    Duration: 1:37
    Huku Uganda ikijiandaa kwa uchaguzi wake mkuu mwezi Januari 2026, Rais Yoweri Museveni atawania muhula mwingine wa uongozi baada ya kuwa madarakani kwa takriban miaka 40. Kuidhinishwa wa Museveni kuwania urais kwa muhula mwingine kumeibua mjadala katika maeneo mengi, lakini raia nchini Uganda wana maoni gani kuhusu hilo? @RoncliffeOdit alikuwa Kampala kusikia maoni yao.... - - #bbcswahili #siasa #uganda #museveni