Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Ufaransa na Uingereza wamelitambua taifa la Palestina? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,747 views
    Duration: 28:10
    Ufaransa imetangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron pia ametoa wito wa kuwepo kwa jeshi la kimataifa linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa kutuliza hali katika ukanda wa Gaza baada ya vita. Kiongozi wa Palestina ametaka nchi nyingi zaidi kujitokeza na kufuata Ufaransa na Uingereza katika kulitambua taifa la Palestina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw