24 Sep 2025 10:08 am | Citizen TV 2,250 views Duration: 1:21 Rais William Ruto ameyataka mataifa katika umoja wa mataifa kushinikiza mabadiliko katika umoja wa mataifa ili kuendeleza demokrasia na uwakilishaji ambao unaleta usawa miongoni mwa mataifa wanachama.