Mkulima Kakamega atumia ''mukombero' kutengeneza chai, juisi na mvinyo

  • | K24 Video
    100 views

    Mkulima mmoja kutoka kaunti ya Kakamega ameanza kuzalisha bidhaa zaidi kutoka kwa mmea unaofamika kisayansi kama mondia whitei maarufu kama mukombero ili kuboresha biashara yake. Mkulima huyo, Reuben Shanda, anaye fanya kazi katika taasisi ya utafiti wa misitu nchini kenya (KEFRI), amepanda mmea huo nyumbani kwake.