- 13,023 viewsDuration: 4:57Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, amekubali kushindwa katika uchaguzi mkuu wa urais wa nchi hiyo. Chakwera amelihutubia taifa mapema leo na kusema kwamba amefanya hivyo kwa kuheshimu azma ya wananchi ya kutaka mabadiliko ya uongozi. #dirayaduniatv