Foleni ndefu katika maduka ya vitabu zashuhudiwa katika maeneo tofauti nchini

  • | K24 Video
    29 views

    Foleni ndefu katika maduka ya vitabu zimeshuhudiwa katika maeneo tofauti nchini, siku chache kabla ya wanafunzi kurejea shuleni. Wazazi wengi wanalalamikia kupanda kwa gharama ya maisha iliyopelekea masumbuko ya kukidhi mahitaji ya wana wao hasa karo, sare za shule na hata vitabu. Hata hivyo serikali imesema kuwa imetoa fedha za ufadhili wa elimu za muhula huu.