Miaka 65 ya BBC Swahili: 'Msingi wa BBC ni kutoa habari zilizobora na zilizoaminika zaidi'

  • | BBC Swahili
    917 views
    Tido Muhando, aliyehudumu kama Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya BBC London, amezungumza na mwandishi wa BBC Martha Saranga na kwanza anasimulia kwanini watu bado wanaitegemea BBCSwahili kwa habari. 'Uaminifu katika vyombo vya habari ni jambo kubwa hususan wakati huu ambao mambo yanaelekea sana kidigitali.' ''Hii ni London'' Wiki kuanzia leo Jumatatu Juni tarehe 27, BBC Swahili Itakuwa Zanzibar na Bukavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuadhimisha miaka 65 ya kukuhabarisha Kukuburudisha na Kukuelimisha. Hongera kwa kuendelea kutusikiza. #bbcswahili65 #kenya #tanzania