Miaka 65 ya BBC Swahili:"Kusema habari za uongo ni tatizo kubwa"

  • | BBC Swahili
    261 views
    'Kitu kinachonifurahisha sana kwa BBC ni kule kutilia mkazo ukweli wa mambo' Murilo Telewa mwandishi mkongwe ambaye amewahi kufanyakazi na bbc kwa takribani miaka 25 amezungumza na BBC na kuelezea mambo mengi ikiwemo namna walivyoanza kufanya kazi na shirika hilo. Mwandishi wa BBC @judith_wambare amefanya mazungumzo naye na kutuandalia taarifa hii #bbcswahili #bbcswahili65 #kenya