Rais Ruto aendelea kushtumu korti kuhusu ushuru wa nyumba

  • | K24 Video
    621 views

    Rais William Ruto amekiri kwamba bei ya nyumba za bei nafuu zilizokamilika bondeni, jijini Nakuru hazilingani na mapato ya Wanjiku. Ruto amesema mradi mwengine wa nyumba za bei nafuu utaanzishwa ,na nyumba hizo amesema zitalipishwa shilingi elfu tatu ili kuhakikisha kuwa wakenya wenye mapato ya chini wamepata fursa ya kuzinunua. Rais ametangaza hayo baada ya wakenya kukosoa bei za nyumba hizo wakisema ni ghali mno kwa wanjiku.