Maji yalivyopaa angani Ghuba ya California

  • | BBC Swahili
    1,145 views
    Tazama namna maji haya yalivyoruka juu angani huko kwenye Ghuba ya California, karibu na mji wa Puerto Peñasco, Mexico. Kitendo hiko cha maji kwenda angani ni sawa na vimbunga, lakini hutokea juu ya uso wa maji. Wakati wa tukio hili vyombo vya habari vya eneo hilo viliripoti hali ya hewa tulivu, ikiwa na nyuzi joto 21C (70F). #bbcswahili #califonia #kimbungachamaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw