Skip to main content
Skip to main content

Mikakati ya kupunguza gharama katika shirika la huduma kwa vijana NYS

  • | Citizen TV
    239 views
    Duration: 1:27
    Shirika la huduma kwa vijana nchini NYS limeanzisha mchakato wa kutoa mafunzo ya uokaji wa mikate kama moja wa mtalaa wa elimu ya kiufundi kwa vijana wanaojiunga na shirika hilo kote nchini.