26 Sep 2025 1:10 pm | Citizen TV 107 views Wakazi wa Kaitui kaunti ya Kericho waliwapiga kwa mawe washukiwa wawili wa wizi wa pikipiki hadi kufa kisha wakateketeza gari walilokuwa nalo.