26 Sep 2025 1:18 pm | Citizen TV 414 views Duration: 1:12 Wahudumu wa tuktuk na teksi huko Watamu eneo bunge la Kilifi kaskazini wameandamana wakilalamikia kudorora kwa biashara yao kutokana na uwepo wa usafiri wa teksi zinanzotumia viunzi vya mtandao kupata wateja.