26 Sep 2025 1:21 pm | Citizen TV 163 views Duration: 2:11 Wadau wa sekta ya utalii katika kaunti ya Trans Nzoia wamepiga kengele ya hatari wakitaja uharibifu wa mazingira na unyakuzi wa ardhi kama tishio kuu kwa mustakabali wa utalii katika eneo hilo.