- 404 viewsDuration: 3:31Wakulima katika kaunti ya Busia wamehimizwa kukumbatia ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kwa wingi ili kukidhi mahitaji ya bidhaa hiyo katika shule na vyuo vya mfunzo anuai. Uhaba wa maziwa katika chuo cha mafunzo anuai cha Murende eneo bunge la Matayos unatatiza juhudi za wanafunzi za utengenezaji mtindi au maziwa ya mgando licha ya kuwepo na mashine za kisasa za kufanikisha shughuli hiyo..