26 Sep 2025 1:28 pm | Citizen TV 1,684 views Duration: 1:38 Naibu rais Prof. Kithure Kindiki amesuta viongozi wa upinzani kwa kile anasema wanaendeleza siasa za kuligawanya taifa .