Skip to main content
Skip to main content

Chama cha ODM chatimiza miaka 20 tangu kuasisiwa

  • | Citizen TV
    1,302 views
    Duration: 4:46
    Malefu ya wafuasi wa chama cha ODM wamekongamana katika uga wa Gusii kaunti ya Kisii kuadhimisha miaka 20 ya chama hicho cha Chungwa ukanda wa Nyanza na Magharibi mwa Kenya. Kiongozi wa Chama hicho Raila Odinga anaongoza hafla hiyo mjini Kisii.