26 Sep 2025 1:36 pm | Citizen TV 205 views Duration: 58s Wanafunzi hao wanatoka katika familia za mapato ya chini. Wanafunzi 700 kutoka familia zisizojiweza katika kaunti ya homa bay wamekamilisha mafunzo ya lugha ya Kijerumani katika Chuo Kikuu cha Tom Mboya