26 Sep 2025 1:39 pm | Citizen TV 284 views Duration: 2:01 Idara ya afya kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na Swiss Ability imezindua kituo cha kutengeneza miguu bandia na viungo vingine vya kutembea katika hospitali ya rufaa ya Kapsabet .