- 3,169 viewsDuration: 2:40Umoja wa Upinzani umetangaza kwamba utaunga mkono mmoja wao atakayepambana na rais william Ruto kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2027. Wakihudhuria mkutano maalum wa kitaifa wa wajumbe wa chama cha Peoples Liberation Party, PLP, ulioongozwa na kinara wake Martha Karua, Viongozi hao wa upinzani waliapa kusalia pamoja licha ya njama ya kuwatawanya.