- 274 viewsDuration: 2:26Kwa siku 10 sasa wahadhiri wa vyuo vikuu wameendelea kususia kazi na kusimama kidete kuwa sharti serikali itimize ahadi ya mikataba ya maelewano waliotia saini. Hali hii imewaacha wanafunzi kutaabika wakikosa masomo wasijue warudi nyumbani au kusalia vyuoni.