- 296 viewsDuration: 2:13Mamia ya wanachama wa ardhi ya kijamii ya Keekonyokie Community Trust, walifanya maandamano wakipinga zoezi la ugavi wa ardhi katika eneo la Kibiko, Ngong, Kaunti ya Kajiado. Wanachama hao wanadai kuwa ardhi hiyo ilikuwa ikigawanywa kinyume na amri ya mahakama iliyotolewa kuzuia shughuli zozote katika ardhi hiyo.