- 1,607 viewsDuration: 1:48Chama cha ODM sasa kinasisitiza kuwahawatasalia tena katika upinzani na hivyo kinaweka mikakati ya kuhakikisha kimesalia uongozini kama chama ama muungano wa vyama. Wakizungumza katika uga wa Gusii kwenye hafla ya kusherehekea miaka 20 ya Chama hicho, viongozi wa Chungwa wakiongozwa na manaibu wa Kinara wa chama hicho, wameapa kushirikiana hadi mwaka wa 2027 na serikali ya rais william ruto ili kufanikisha uwiano na maendeleo zaidi nchini.