Kaunti ya Nyamira kuzika miili ya watu wasiotambuliwa

  • | Citizen TV
    500 views

    Makafani ya hospitali ya rufaa ya Nyamira imetangaza kuzikwa kwa miili ya watu ambao familia zao hazijajitokeza kuichukua kwa SHUGHULI ZA MAZISHI. Aidha baadhi ya miili imesalia katika makafani hAYO kwa zaidi ya miaka miwili na kusababisha msongamano.