Wanafunzi washauriwa kujiunga na masomo ya kiufundi

  • | Citizen TV
    119 views

    Wale walio na ujuzi katika taaluma mbali mbali na hawakupata masomo rasmi wana nafasi ya kupata vyeti kutoka vyuo vya kiufundi hapa nchini kufuatia mpango wa serikali wa kutambua ujuzi wa watu hawa hata bila masomo rasmi.