Manuari ya Uingereza yatungua Droni iliyorushwa kutoka Yemen
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza Jumapili ilithibitisha kuwa moja ya manuari zake ilitungua droni iliyorushwa na waasi wa Kihouthi kutoka Yemen.
Meli hiyo HMS Diamond ilitungua kwa kutumia mfumo wake wa makombora aina ya Sea Viper katika Bahari ya Sham, bila ya kusababisha uharibifu wala kujeruhi yeyote, ilisema.
Wahouthi hawakukiri kufanya shambulizi hilo. Waasi hao wamekuwa wakisema hivi sasa meli za Marekani na Uingereza ziko katika malengo ya kampeni ya mashambulizi yao. Wanasema kampeni hiyo inakusudia kuishinikiza Israel kusitisha vita dhidi ya Hamas huko Ukanda wa Gaza. -AP
Marekani imekiorodhesha Kikundi cha waasi hao kuwa ni jumuiya ya kigaidi.
#Israel #Hamas #Houthis #US #UK #VOA
13 Aug 2025
- The clarification follows an uproar from Kenyans.
13 Aug 2025
- The United States as intensified crackdown on individuals seeking student visas.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The clarification follows an uproar from Kenyans.
13 Aug 2025
- The United States as intensified crackdown on individuals seeking student visas.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.