Ugonjwa wa ‘fibroids’ ni mojawapo ya magonjwa yanayowaathiri wanawake sana

  • | Citizen TV
    279 views

    Fibroids ni mojawapo ya magonjwa yanayowahangaisha mno wanawake wenye asili ya kiafrika. Ugonjwa huu ambao sasa umeonekana pia kuathiri wanawake wenye umri mdogo umesababisha wengi wao kuishia kufanyiwa upasuaji kwani wengi hutafuta matibabu dalili zinapokithiri.