Gavana wa Laikipia Joshua Irungu atoa basari kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    135 views

    Gavana wa kaunti ya Laikipia Joshua Irungu amewasihi wazazi katika kaunti hiyo wahakikishe kuwa asilimia 100% ya watahaniwa waliofanya mtihani wa KCPE mwaka jana wameingia kidato cha kwanza.