Wanamazingira wasema taka zilizochakatwa ni hatari Kilifi

  • | Citizen TV
    196 views

    Wataalamu wa mazingira katika kaunti ya Kilifi wamewaonya wakaazi dhidi ya kutumia plastiki zilizochakatwa kwani kulingana nao plastiki hizo zina athari kubwa kwa binadamu.