Mchungaji anajisi msichana wa kidato cha kwanza Baringo

  • | K24 Video
    148 views

    Polisi katika kaunti ya baringo wamemkamata mchungaji wa kanisa la AIC Kipkures mwenye umri wa miaka 38, anayedaiwa kumnajisi na kumpa ujauzito msichana wa umri wa miaka 15 katika eneo la Kapchepkor Baringo kaskazini, mnamo tarehe 24 Disemba 2023.