Serikali ya kaunti ya Machakos imeshika kasi katika mipangilio yake ya kusafisha miji

  • | K24 Video
    61 views

    Serikali ya kaunti ya Machakos imeshika kasi katika mipangilio yake ya kusafisha miji haswa katika maeneo wananchi walikuwa wakilalama uwepo wa taka nyingi. Waziri wa ardhi na mipangilio ya miji nathaniel nganga anasema kutowajibika kwa wananchi katika kutupa taka hata hivyo kumeendelea kupiga kumbo juhudi zao za kuwa na miji iliyo safi, na baada ya runinga ya k24 kuangazia kilio cha wananchi kuhusu hatari iliyokuwa ikiwakodolea macho kutokana na taka hizo, hatimaye kilio chao kimejibiwa