Ongezeko la vipepeo vyeupe sehemu nyingi nchini

  • | K24 Video
    55 views

    Baada ya msimu wa mvua uliopita ulioambatanishwa na tukio la hali ya hewa El nino, kumekuwa na ongezeko la vipeo vyeupe sehemu mengi za nchi. Hali hii imezua wasiwasi miongoni mwa wakulima na wakenya. Baadhi ya wakenya wanauliza je, kutakuwa na msimu wa kivu, huku wengine wanadai kutakuwa na uvamizi wa viwavi kwenye mimea.